Posts

What is prayer?

what is prayer? Prayer is a form of communication or spiritual practice in which individuals or groups express their thoughts, feelings, and desires to a higher power, deity, or a transcendent force. It can take various forms, such as requesting guidance, giving thanks, seeking forgiveness, or simply fostering a sense of connection with the divine. Prayer is an integral part of many religious and spiritual traditions and can be personal, communal, or ritualistic. Important of prayer to almighty God for Christianity  In Christianity, prayer is of central importance and serves several significant purposes: Communication with God: Prayer is a means of fostering a personal relationship with God. It allows Christians to converse with, worship, and seek guidance, comfort, and strength from their Creator. Confession and Forgiveness: Christians use prayer to confess their sins and seek God's forgiveness through repentance. This helps in maintaining a sense of moral and spiritual purity. Th...

Sala ya zaburi ya vita

 Zaburi 35 ni zaburi ya vita pale unapokutana na matatizo na vikwazo omba sala hii kwa Imani hakika hali haitabaki kama ilivyo. 35 Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. 2 Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie. 3 Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako. 4 Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya. 5 Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini. 6 Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia. 7 Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu. 8 Uharibifu na umpate kwa ghafula, Na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe; Kwa uharibifu aanguke ndani yake. 9 Na nafsi yangu itamfurahia Bwana, Na kuushangilia wokovu wake. 10 Mifupa yangu yote itasema, Bwana, ni nani aliye kama Wewe? Umponyaye maskini na mtu aliye hodari kumshinda yeye, Naam, maskini na mhitaji na mtu amtekaye. 11 Mashahid...

Sala ya kuomba rehema.

 Tutatumia zaburi 51 ili kuomba rehema kwa Mungu pale nafsi yako inapokwambia umekosea inapaswa kurudi magotini na kuomba rehema kwa Mungu. 51 Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. 2 Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu. 3 Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima. 4 Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu. 5 Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu alinichukua mimba hatiani. 6 Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanijulisha hekima kwa siri, 7 Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, Unioshe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji 8 Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi. 9 Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; Uzifute hatia zangu zote. 10 Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu 11 Usinitenge na uso wa...
 Tutumie Zaburi 91 as our point prayer hii zaburi ni very powerful ina nguvu sana ukiomba kwa imani. Tuombe: Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. 2 Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini. 3 Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo. 4 Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao. 5 Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, 6 Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri, 7 Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe. 8 Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki. 9 Kwa kuwa Wewe Bwana ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako. 10 Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako. 11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote. 12 Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu ...

Maombi

 Habari yako naitwa Sarah Mgoha ni mmiliki wa hii blog nitakuwa nanyi kuwaletea maombi yenye Nguvu kwa ajili ya kufunguliwa vifungo na laana mbalimbali karibu sana tuwe pamoja katika uwanja huu wa maombi hakika utamuona Mungu asantee sana.